Gor Mahia imetawazwa mabingwa wa SportPesa Super Cup kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuifunga Simba mabao 2-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika katika uwanja wa Afraha. Gor imemaliza michuano …
SINGIDA MSHINDI WA TATU SPORTPESA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Singida United imekuwa mshindi wa tatu katika michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuifunga Kakamega Homeboyz kwa mikwaju ya penati 4-1. Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya kufungana bao moja na k…
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA GOR MAHIA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Paul Bukaba 4. Yusuf Mlipili 5. Eraston nyoni (c) 6. Jonas Mkude 7. Shiza Kichuya 8. Mzamiru Yassin 9. Adam Salamba 10. Mohammed Rashid 11. Rashid Juma Wachezaji…
MASOUD: TUTAKUJA KIVINGINE KESHO WATU HAWATAAMINI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Kaimu kocha mkuu wa timu ya Simba, Masoud Djuma amesema katika mchezo wa kesho wa fainali dhidi ya Gor Mahia watacheza tofauti na watu walivyozoea. Katika michezo miwili iliyopita dhidi ya Kariobangi…
TAARIFA YA DAKTARI JUU YA JERAHA LA NGOMA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Daktari wa timu ya Azam, Mwanandi Mwankemwa amethibitisha kuwa mshambuliaji Donald Ngoma atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tisa. Dokta Mwankemwa amerejea leo saa tatu asubuhi kutoka Afrika Kusini alipok…
SIMBA: TUNAIHESHIMU GOR LAKINI HATUIOGOPI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Uongozi wa klabu ya Simba umekiri kuwa mchezo wa kesho wa fainali ya SportPesa Super Cup dhidi ya Gor Mahia utakuwa mgumu ingawa wamejipanga kurudi na taji nyumbani. Gor ndio mabingwa watetezi wa mic…
KANE AJIFUNGA ZAIDI SPURS
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Nahodha wa Uingereza, Harry Kane ameongeza mkataba mrefu na timu yake ya Tottenham Hotspur iliyomlea tangu akiwa mtoto. Kane amesaini mkataba wa miaka sita utakaomuweka klabuni hapo mpaka 2024. Kane…
MANULA ASHANGAZWA NA WAAMUZI KUMZUIA KUWEKA TAULO LAKE GOLINI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Mlinda mlango wa timu ya Simba, Aishi Manula ameshangazwa na waamuzi wa Kenya kumzuia kuweka taula lake golini kwenye hatua za penati wakati katika muda wa kawaida wanamruhusu kufanya hivyo. Katika m…
YANGA YATHIBITISHA KUTOKUSHIRIKI KAGAME CUP
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya Yanga imethibitisha kuwa haitashiriki michuano ya kombe la Kagame kutokana na ratiba ilivyowabana ambapo tayari imewapa mapumziko wachezaji wake. Michuano hiyo imepangwa kuanza Juni 29 na Yan…
MASOUD AWAACHIA SIMBA UAMUZI WA KUMPA MIKOBA YA LECHANTRE
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Kocha msaidizi wa timu ya Simba, Masoud Djuma amesema maamuzi ya kumfanya kuwa kocha mkuu kuchukua nafasi Pierre Lechantre yapo kwenye uongozi wa juu wa Wekundu hao sio kwake. Katika mchezo wa jana w…
KAGERE AIPELEKA GOR MAHIA FAINALI SPORTPESA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Mabao mawili ya mshambuliaji Meddy Kagere yametosha kuipeleka Gor Mahia fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuilaza Singida United 2-0. Kagere amefikisha mabao matatu katika michuano …
SIMBA YATANGULIA FAINALI SPORTPESA SUPER CUP
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya Simba imekuwa ya kwanza kutinga hairs ya fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuifunga Kakamega Homeboyz kwa mikwaju ya penati 5-4. Simba imeingia hatua hiyo ikiwa safu yake ya…
Kitaifa
- GOR MAHIA YATETEA UBINGWA WA SPORTPESA10 Jun 20182
Gor Mahia imetawazwa mabingwa wa SportPesa Super Cup kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuifu...
- SINGIDA MSHINDI WA TATU SPORTPESA10 Jun 20180
Singida United imekuwa mshindi wa tatu katika michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuifunga Ka...
- KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA GOR MAHIA10 Jun 20182
1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Paul Bukaba 4. Yusuf Mlipili 5. Eraston nyoni (c) 6. Jonas M...
- MASOUD: TUTAKUJA KIVINGINE KESHO WATU HAWATAAMINI09 Jun 20180
Kaimu kocha mkuu wa timu ya Simba, Masoud Djuma amesema katika mchezo wa kesho wa fainali dhidi ya...
- TAARIFA YA DAKTARI JUU YA JERAHA LA NGOMA09 Jun 20180
Daktari wa timu ya Azam, Mwanandi Mwankemwa amethibitisha kuwa mshambuliaji Donald Ngoma atakuwa n...
Kimataifa
- KANE AJIFUNGA ZAIDI SPURS08 Jun 20180
Nahodha wa Uingereza, Harry Kane ameongeza mkataba mrefu na timu yake ya Tottenham Hotspur iliyo...
- RIVALDO: MAN UNITED IMELAMBA DUME KWA FRED06 Jun 20180
Gwiji wa timu ya taifa ya Brazil, Rivaldo amesema Manchester United wamepata mchezaji mzuri baada ...
- BALLACK ASHANGAZWA NA SANE KUTEMWA UJERUMANI05 Jun 20180
Kiungo wa zamani wa Ujerumani Michael Ballack ameshangazwa na na kutemwa kwa winga Leroy Sane kati...
- STEALING AOMBA RADHI KWA KUCHELEWA KURIPOTI 'THREE LIONS'02 Jun 20180
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza, Gareth Southgate amesema mchezaji Raheem Sterling amewao...
- CHELSEA YAHAMIA KWA BLANC KUCHUKUA MIKOBA YA CONTE30 May 20180
Chelsea ipo kwenye mazungumzo na kocha wa zamani wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Ufaran...
.
