Chelsea ipo kwenye mazungumzo na kocha wa zamani wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Ufaransa Laurent Blanc wakiendelea kutafuta mrithi wa Antonio Conte.
Awali kulikuwa taarifa kuwa wamemchukua kocha wa Napoli Maurizio Sarri (59) kwa mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya pauni 5.5 milioni.
Lakini Chelsea wanatakiwa kuilipa Napoli pauni 7 milioni ili kuvunja mkataba wa Sarri kitu ambacho kinaonyesha huenda dili hilo likafa.
Baada ya Chelsea kutakiwa kulipa kiasi hicho cha pesa sasa wamehamia kwa Blanc ambaye anapatikana bila masharti magumu.
Mkurugenzi wa Napoli Aurelio De Laurentiis amewataka Chelsea kutoa kiasi hicho ili kumpata Sarri ambaye nafasi yake imechukuliwa Carlo Ancelotti.
"Hatuwezi kupunguza chochote kwenye dau la Sarri, mpaka hakuna mtu aliyenifuata kuhusu kipengele hichi cha usajili wa kocha Sarri," alisema De Laurentiis.
About Author

Advertisement

Related Posts
- KANE AJIFUNGA ZAIDI SPURS08 Jun 20180
Nahodha wa Uingereza, Harry Kane ameongeza mkataba mrefu na timu yake ya Tottenham Hotspur iliyo...Read more »
- RIVALDO: MAN UNITED IMELAMBA DUME KWA FRED06 Jun 20180
Gwiji wa timu ya taifa ya Brazil, Rivaldo amesema Manchester United wamepata mchezaji mzuri baada ...Read more »
- BALLACK ASHANGAZWA NA SANE KUTEMWA UJERUMANI05 Jun 20180
Kiungo wa zamani wa Ujerumani Michael Ballack ameshangazwa na na kutemwa kwa winga Leroy Sane kati...Read more »
- STEALING AOMBA RADHI KWA KUCHELEWA KURIPOTI 'THREE LIONS'02 Jun 20180
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza, Gareth Southgate amesema mchezaji Raheem Sterling amewao...Read more »
- NEYMAR AKIRI HAYUPO FITI ASILIMIA MIA28 May 20180
Zikiwa zimesalia wiki tatu kabla ya kuanza michuano ya kombe la dunia nyota wa PSG na timu ya taif...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.