SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: MABINGWA CHELSEA NA MAN UNITED KUANZA NYUMBANI, LIVER NA MANCITY KUANZIA UGENINI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Mabingwa Ligi Kuu Nchini Uingereza Chelsea wataanza kampeni yao ya kutetea taji la Ligi Kuu ya England dhidi ya Burnley wakiwa nyumbani kat...
Mabingwa Ligi Kuu Nchini Uingereza Chelsea wataanza kampeni yao ya kutetea taji la Ligi Kuu ya England dhidi ya Burnley wakiwa nyumbani katika wiki ya kwanza ya pazia la ligi kuu nchini Uingereza Agosti 12.
Mechi za kwanza zitaanza tarehe 12 Agosti wiki moja baada ya ngao ya hisani itakayomkutanisha bingwa wa ligi Chelsea na bingwa wa kombe la Fa Arsenal
Mechi za mwisho za ligi zitachezwa Jumapili 13 Mei, 2018 hii ni  kutokana na fainali za Kombe la Dunia ambazo zitaanza Urusi 14 Juni.
Mechi za kwanza  Agosti, 12, 2017
§  Arsenal v Leicester City
§  Brighton v Manchester City
§  Chelsea v Burnley
§  Crystal Palace v Huddersfield Town
§  Everton v Stoke City
§  Manchester United v West Ham United
§  Newcastle United v Tottenham Hotspur
§  Southampton v Swansea City
§  Watford v Liverpool

§  West Bromwich Albion v AFC Bournemouth

Kwa ratiba yote tembelea blog yetu 
14 Jun 2017

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top