SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: HIZI HAPA TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Nyota wa Liverpool Philippe Coutinho, amesema tetesi zinazomhusisha yeye kuhamia Barcelona 'sio suala jepesi' Klabu ya Aston Vill...
Nyota wa Liverpool Philippe Coutinho, amesema tetesi zinazomhusisha yeye kuhamia Barcelona 'sio suala jepesi'
Klabu ya Aston Villa wanataka kumsajili nahodha wa zamani wa Chelsea John Terry mwenye umri wa miaka 36
Mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez,wa Arsenal amekuwa na wasiwasi juu ya uhamisho wake kwenda Manchester City unaeza usikubaliwe na bodi ya Arsenal na kukubaliwa kuijiunga na miamba wa Ujerumani  Bayern Munich
Mshambuliaji wa Atletico Madrid na Ufaransa, Antoinne Griezmann, 26, amesaini mkataba kusalia Madrid hadi mwaka 2022,

Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic,  ameanza mazungumzo kuhusu kuhamia LA Galaxy ya Marekani (Yahoo).

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top