Klabu ya Simba imeendelea
kujiimarisha kwa kufanyia kazi maungufu ya timu yao kwa msimu uliopita
Simba mpaka sasa wameshasajili
wachezaji watano katika nafasi tatu ambazo zimeonekana kuwa na upungufu mkubwa
kwa msimu uliopita
Baada ya kumalizika kwa ligi kuu
Simba walianza kuyafanyia kazi mapungufu na kujiandaa na msimu mpya wa ligi wa
2017-2018 huku wakiimarisha zaidi kikosi chao kwa ajili ya michuano ya kimataifa
baada ya kukosa nafasi hiyo kwa takribani miaka mine
Simba tayari imekamilisha usajili
wa John Bocco, Aishi Manula, na Shomari kapombe wote wakitokaAzam fc huku ikiwa
imemsajili Jamal mwamboleko kutoka Mbao fc na Mlipili kutoka Toto Africans
Wakionekana kudhamiria kufanya
kweli kwenye dirisha hili la usajili kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa
endelea kuwa nasi utazipata hapa hapa
Karibu Unyamani John Bocco.
ReplyDeleteHizo taarifa ambazo hazijathibitishwa zinasemaje?
ReplyDelete