Kaimu kocha mkuu wa Yanga, Noel Mwandila amesema atawajenga wachezaji wake kisaikolojia kwa ajili ya mechi ijayo dhidi ya Azam FC kwakuwa hawana muda wa kufanya maandalizi.
Yanga itacheza mechi ya mwisho ya kufungia pazia la ligi Jumatatu na Azam katika mchezo ambao utaamua atakayemaliza nafasi ya pili.
Mwandila amesema atakacho kifanya ni kuwaandaa wachezaji kisaikolojia kwakua muda ni mchache wa kujiandaa lakini watapambana.
Kocha huyo ameongeza kuwa wamecheza mechi nyingi mfululizo bila kupumzika mpaka wanashindwa kupata matokeo chanya.
"Muda wa kujiandaa na mechi ya Azam hakuna kikubwa tutakaa na wachezaji kuwaanda kisaikolojia ili kupambana na hatimaye tupate ushindi," alisema Mwandila.
Yanga ina pointi 52 ikiwa nafasi ya tatu ikizidiwa alama tatu na Azam iliyo nafasi ya pili.
ALICHOSEMA KOCHA WA YANGA KUHUSU MECHI YA AZAM
Title: ALICHOSEMA KOCHA WA YANGA KUHUSU MECHI YA AZAM
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Kaimu kocha mkuu wa Yanga, Noel Mwandila amesema atawajenga wachezaji wake kisaikolojia kwa ajili ya mechi ijayo dhidi ya Azam FC kwakuwa ...
Post a Comment