Kocha wa timu ya Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza
kikosi chake kwa ajili ya mechi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za
Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Lesotho.
Kikosi kitaendelea kuongozwa na nahodha Mbwana Samatta anayekipiga nchini Ubelgiji katika klabu ya KRC Genk.
Makipa;
Aishi Manula (Azam), Benno Kakolanya (Yanga) na Said Mohammed (Mtibwa Sugar).

Mabeki;
Shomari Kapombe (Azam), Hassan Kessy (Yanga), Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ (Simba), Mwinyi Haji, Salim Mbonde (Mtibwa Sugar), Abdi Banda (Simba) na Erasto Nyoni (Azam ).

Viungo;
Himid Mao (Azam), Jonas Mkude (Simba), Said Ndemla (Simba), Muzamiru Yassin (Simba), Simon Msuva (Yanga), Shiza Kichuya (Simba), Farid Mussa (Tennerife, Hispania) na Abubakar Salum ( Azam)

Washambuliaji;
Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji), Thomas Ulimwengu (AFC Eskilstuna, Sweden), Ibrahim Ajibu (Simba), Mbarak Yussuf (Kagera Sugar) na Abdulrahman Mussa (Ruvu Shooting),

Post a Comment