VIINGILIO MECHI YA FAINALI KOMBE LA FA
Fainali ya Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) inatarajiwa kufanyika Mei 27, 2017 kwa kuzikutanisha timu za Simba Sports Club na Mbao FC; katika mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Mkoa wa Dodoma ametaja Viingilio katika mchezo huo ambao utahudhuriwa na watu wengi kutoka sehem mbali mbali
Viingilio katika mchezo huo itakuwa ni Sh 20,000 kwa VIP A wakati VIP B ni Sh 15,000, mzunguko itakuwa Sh 5,000.
Post a Comment