Timu ya soka ya simba sc imeifunga timu ya soka ya Toto Afrika kwa magoli 3-0 katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom katika uwanja wa uhuru.
Mpaka half time Simba sc ilikuwa inaongoza kwa goli moja liliofungwa na Muzamir Yasin aliyeunganisha vyema pasi ya Fredrick Blagnon.
Katika kipindi cha pili simba ilpata goli la pili kupitia Laudit Mavugo aliyepokea pasi ya Mohamed Ibrahim
Goli la tatu lilifungwa na Mzamiru Yasin katika dk ya 74 aliyepokea pasi ya mohamed Ibrahim
Simba walifanya Mabadiliko na kumtoa Fredrick Blagnon alieumia na nafasi yake kuchukuliwa na Laudit Mavugo akatoka Shiza kichuya na nafasi yake kuchukuliwa na Said hamis Na Mwinyi kazimoto nafasi yake ilichukuliwa na Jamal Mnyate
Simba wamezidi kujikita kileleni mwa ligi baada ya kukusanya Pointi 29 katika michezo 11
SIMBA YAIFUMUA TOTO AFRIKA MZAMIRU ANGARA
Title: SIMBA YAIFUMUA TOTO AFRIKA MZAMIRU ANGARA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya simba sc imeifunga timu ya soka ya Toto Afrika kwa magoli 3-0 katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom katika uwanja wa uhuru....
Post a Comment