Ligi
Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu 2016/17, raundi ya 11 imeendelea
wikiendi iliyopita kwa michezo
nane kupigwa katika viwanja tofauti nchini
Tumekuekea
hapa matokeo yote.
Maji Maji FC 1 – 1 Ruvu Shooting
African Lyon 2 – 0 Mbeya
City
Ndanda FC 1 – 2 Mwadui FC
Mtibwa Sugar 3 – 3 Stand United
Kagera Sugar 2 – 6 Yanga
Azam FC 1
– 0 JKT Ruvu
Simba 3 – 0 Toto Africans
Tanzania Prisons 1 – 1
Mbao FC
Post a Comment