Baraza la michezo Tanzania BMT limetangaza kuzitaka klabu za Simba na Yanga
kusitisha mara moja mchakato wa mfumo wa mabadiliko mpaka watakapokubaliana na
wanachama wao.
Akitangaza
taraifa hiyo mbele ya waandishi wa habari katibu mkuu wa Baraza la michezo
Tanzania Mohamed Kiganja amesema Kama Serikali inapenda klabu hizo zifanye
mabadiliko ya kimfumo lakini zifuate utaratibu na kubadili katiba zao
Mpaka
taratibu nyingine zifuatwe,baada ya kuona zoezi zima limekiuka utaratibu
Serikali imesema wamezitaka klabu hizo ziendelee kuachwa kwa
wanachama.
Post a Comment