Simba imekuwa ikitoa tuzo hizi ili kuongeza morali kwa wachezaji wake Kichuya amenyakua tuzo ya Mwezi wa tisa pamoja na kitita cha shillingi laki 500,000 ambayo amekabidhiwa katika uwanja wa Uhuru na makamu wa Simba Godfrey Nyange Kaburu kabla ya game na Toto Africa
KICHUYA MCHEZAJI BORA MWEZI WA TISA SIMBA
Title: KICHUYA MCHEZAJI BORA MWEZI WA TISA SIMBA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Shiza Ramadhani Kichuya Amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Mwezi Septemba katika timu ya Simba Simba imekuwa ikitoa tuzo hizi ili kuo...
Post a Comment