Simba
sc imefanikiwa kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa kimataifa wa Congo,
Mussa Ndusha
Sifa zimuendee TMS Manager wetu Ndugu Collins Firsch na sekretarieti nzima ya Simba kwa kazi nzuri ya kufanikisha hili
Akiongea
na Simba damu fans Makamu Mwenyekiti wa SImba Godfrey Nyange kaburu
amethibitisha kupatikana
kwa ITC (Hati ya Uhamisho wa Kimataifa) ya Ndusha na tayari ipo Dar
kwa ITC (Hati ya Uhamisho wa Kimataifa) ya Ndusha na tayari ipo Dar
Hadi sasa, Ndusha
ameichezea Simba SC mechi mbili za kirafiki ikishinda 4-0 dhidi ya AFC Leopard
na katika sare ya 1-1 na URA ya Uganda, zote Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Post a Comment