SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: SIMBA YAENDELEZA USHINDI YAIPASUA MBAO JIONI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya Simba sc imeendelea kujikita kileleni baada ya kuifunga timu ya Mbao fc kutoka Mwanza kwa goli 1-0 katika uwanja wa uhuru ...
Timu ya soka ya Simba sc imeendelea kujikita kileleni baada ya kuifunga timu ya Mbao fc kutoka Mwanza kwa goli 1-0 katika uwanja wa uhuru leo hii.

Mpaka mapumziko timu zote zilikuwa hazijapata goli, kiipindi cha pili Simba walianza kwa kulishambulia goli la Mbao huku mbao wakionekana imara zaidi kwenye safu ya ulinzi.

Simba walifanya mabadiliko kwa kumuingiza Fredrick blagnon na kumtoa laudit Mavugo akatika Ibrahim Ajib na Kuingia Mohamed Ibrahim.

Goli pekee la mchezo huo lilifungwa na Mzamiru Yasin baada ya kupokea pasi ya Fredrick Blagnon. Simba sc imefikisha pointi 26 baada ya kucheza mechi 10

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top