Klabu ya Simba inatarajia kufanya mkutano mkuu wa dharura wa mabadiliko ya katiba utaofanyika Mei 20 jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo utafanyika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere uliopo Ocean Road kuanzia saa 3 asubuhi.
Kaimu Rais wa klabu hiyo, Salim Abdallah 'Try Again' amewaandikia barua makatibu wa matawi kuwapa taarifa za mkutano huo.
Barua hiyo inasema ajenda za mkutano huo zitatolewa siku chache zijazo kama katiba ya klabu hiyo inavyoeleza.
Simba bado inaendelea na mchakato wake wa kubadili uendeshwaji wake kutoka umiliki wa wanachama hadi mfumo wa hisa.
SIMBA KUKUTANA KWA DHARURA MEI 20
Title: SIMBA KUKUTANA KWA DHARURA MEI 20
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Klabu ya Simba inatarajia kufanya mkutano mkuu wa dharura wa mabadiliko ya katiba utaofanyika Mei 20 jijini Dar es Salaam. Mkutano huo u...

Post a Comment