Timu ya Yanga imepangwa kucheza na Wolaita Dicha ya Ethiopia katika kombe la Shirikisho Afrika kwa mujibu wa droo iliofanyika usiku huu.
Wolaita ambayo ilianzishwa mwaka 2009/waliitoa Zamelek ya Misri kwenye michuano ya kombe la Shirikisho kwa jumla ya mabao 4-3.
Mchezo wa kwanza uliofanyika nchini Ethiopia Wolaita iliishinda mabao 2-1 kabla ya kulazimisha sare ya mabao 2-2 Misri.
Wolaita ndio iliitoa Zimamoto ya Zanzibar kwenye hatua ya kwanza ya michuano ya Shirikisho kwa jumla ya mabao 2-1.
Mechi hizo zitachezwa Aprili 6,7 na 8 na mechi za marudiano zitakuwa Aprili 16 na 17.
Ratiba kamili ya kombe la Shirikisho Afrika
Zanaco vs Raja Casablanca
Vita club vs Cm lamacha Congo
St George vs Carra Brazzaville
El Hilal vs Akwa united
Super Sports vs Gor mahia
El bayt vs Songo Mozambique
Usmer Alger vs Cotton United
Enyimba vs Vits South
Ghana Vs Bouser Malagasy
Yanga vs Wolaita Dicha
YANGA YAPEWA WABABE WA ZAMALEK SHIRIKISHO
Title: YANGA YAPEWA WABABE WA ZAMALEK SHIRIKISHO
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya Yanga imepangwa kucheza na Wolaita Dicha ya Ethiopia katika kombe la Shirikisho Afrika kwa mujibu wa droo iliofanyika usiku huu. ...
Post a Comment