Mabingwa watetezi wa michuano ya Azam Sports Federation Cup timu ya Simba itaanza kutetea taji hilo kwa kucheza na Green Warriors ya Dar es Salaam.
Droo ya pili ya timu 64 zitaanza kuchezwa kuanzia Disemba 20 hadi 25 baada ya kukamilika kwa hatua ya awali iliyoanza mwishoni mwa mwezi Oktoba.
Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom timu ya Yanga itacheza Reha ya Dar es Salaam mchezo ambao utachezwa kwenye uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Azam watakuwa kwenye uwanja wake wa Azam Complex kuwakaribisha Area C ya Dodoma wakati Mtibwa Sugar watacheza na Villa Squad.
Ratiba kamili ya FA kwa timu zinazo shiriki ligi kuu
Ruvu Shooting vs Madini FC
Abajaro vs Tanzania Prisons
Njombe Mji vs Mji mkuu
Bodaboda FC vs Singida United
Mwadui FC vs Pepsi FC
New Generation vs Majimaji
Ndanda FC vs Boma
Lipuli FC vs Burkina FC
Simba vs Green Warriors
Azam FC vs Area C
Yanga vs Reha
Ihefu vs Mbeya City
Mtibwa Sugar vs Villa Squard
Makambako vs Kagera Sugar
Mbao FC vs Makanyagio
SIMBA,YANGA, AZAM ZAPEWA VIBONDE KOMBE LA FA
Title: SIMBA,YANGA, AZAM ZAPEWA VIBONDE KOMBE LA FA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Mabingwa watetezi wa michuano ya Azam Sports Federation Cup timu ya Simba itaanza kutetea taji hilo kwa kucheza na Green Warriors ya Dar e...
Simba wangetupangia tu Yanga wale.....wamebahatika droo mbili mfululizo
ReplyDelete