Everton ambayo ilimfukuza kocha wake Ronald Koeman mwezi uliopita kutokana na mwenendo mbovu inashika mkia kwenye kundi hilo ikiwa na pointi moja ambapo hata ikishinda michezo yake miwili iliyobaki bado haiwezi kufuzu hatua inayofuata.
Kaimu kocha mkuu wa timu hiyo David Unsworth bado hajaonja radha ya ushindi tangu apewe kibarua hicho Oktoba 23 mwaka huu.
Arsenal ikiwa katika uwanja wake wa Emirates imelazimishwa sare bila kufungana na FK Crvena Zvezda lakini ndio vinara wa kundi hilo la H wakiwa na pointi 10.
Matokeo ya mechi zote za Europa
zilizopigwa
Maccabi Tel Aviv 0-1 FC Astana
Slavia Prague 0-2 Villarreal
Partizan Beograd 2-0 Skenderbeu
Young Boys 0-1 Dynamo Kyiv
Istanbul Basaksehir 1-1 Hoffenheim
Ludogorets Razgrad 1-1 Braga
AEK Athens 0-0 AC Milan
Rijeka 1-4 Austria Wien
Apollon Limassol 1-1 Atalanta
Lyon 3-0 Everton
FC Koebenhavn 3-0 Zlin
Lokomotiv Moscow 1-2 FC Sheriff
FCSB 1-1 Hapoel Beer Sheva
Viktoria Plzen 4-1 Lugano
Arsenal 0-0 FK Crvena Zvezda
FC Cologne 5-2 BATE Borisov Salzburg 0-0 Konyaspor
Vitoria de Guimaraes 1-0 Marseille
Athletic Bilbao 1-0 Oestersunds FK
Hertha Berlin 2-0 Zorya
Lazio 1-0 Nice
Vitesse 0-2 Zulte-Waregem
Real Sociedad 3-0 FK Vardar Skopje
Rosenborg 1-1 Zenit St. Petersburg
Post a Comment