Manchester United itakuwa katika uwanja wake wa nyumbani wa Old Trafford kuikaribisha Benifica ya Ureno katika mchezo wa kundi A. United ndio kinara wa kundi hilo ikiwa na pointi tisa baada ya kushinda mechi zote tatu.
Chelsea itakuwa ugenini kucheza na AS Roma ya Italia ambapo katika mchezo wa mwisho timu hizo zilitoka sare ya mabao 3-3 katika uwanja wa Stamford bridge.
Paris Saint Germain ya Ufaransa itakuwa nyumbani Parc des Princes kuikakaribisha Anderlecht ya Ubelgiji katika mchezo wa kundi B. Mchezo mwingine wa kundi hilo Celtic itaikaribisha Bayern Munich.
Barcelona nao watakuwa ugenini kucheza na Olympiacos ya Ugiriki huku Sporting CP ya Ureno ikicheza na Juventus ya Italia.
Ratiba kamili ya mechi za kesho za ligi ya mabingwa
Basel vs CSKA Moscow
Manchester United vs Benfica
Celtic vs Bayern Munich
Paris Saint Germain vs Anderlecht
Atletico Madrid vs Qarabag FK
Roma vs Chelsea
Olympiacos vs Barcelona
Sporting CP vs Juventus
CHELSEA WAJIANGALIE HAPO WAKIFANYA UTANI WANAPIGWA.
ReplyDeleteCHELSEA WAJIANGALIE HAPO WAKIFANYA UTANI WANAPIGWA.
ReplyDelete