SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: UJERUMANI YATAWALA TANZANIA YAPOROMOKA ORODHA YA FIFA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya Ujerumani imekuwa ndio timu bora kwa sasa duniani kwa kushika namba moja na kuwapita Brazil ambao ndio walikuwa wa kwanza n...
Timu ya soka ya Ujerumani imekuwa ndio timu bora kwa sasa duniani kwa kushika namba moja na kuwapita Brazil ambao ndio walikuwa wa kwanza na sasa wanashika nafasi ya pili
Tanzania imeshuka nafasi tano kutoka 120-125, upande wa Afrika Misri ndio wanaongoza wakiwa nafasi ya 30nao wameporomoka kutoka 25
Somalia na Eritrea wanashika wako nafasi ya mwisho wakiwa hawana alama yoyote  wakiwa nafasi ya 206

Hivi ni orodha ya viwango vya Fifa inayotolewa kila baada ya muda
Nafasi duniani
Taifa
Imeshuka/Kupanda
1
Germany
1
2
Brazil
-1
3
Portugal
3
4
Argentina
-1
5
Belgium
4
6
Poland
-1
7
Switzerland
-3
8
France
2
9
Chile
-2
10
Colombia
-2


Nafasi duniani
Taifa
Imeshuka au Kuipanda
30
Misri
-5
31
Tunisia
3
33
Senegal
-2
42
Congo DR
-14
44
Nigeria
-6
45
Cameroon
-10
49
Burkina Faso
52
Ghana
-2
54
Côte d'Ivoire
0
56
Morocco
4
62
Algeria
-14


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top