Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi amechaguliwa kuwa
mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2017/2018 Kwa mwezi Agosti
Katika Mwezi Agosti kulikuwa na mchezo mmoja na Okwi peke
yake alifunga magoli manne dhidi ya Ruvu Shooting na kuiwezesha timu yake ya
Simba kupata pointi tatu
Kwa kushinda tuzo hiyo ya mchezaji bora, Okwi atazawadiwa
kitita cha sh. 1,000,000 (milioni moja) na wadhamini wakuu wa Ligi hiyo Kampuni
ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.


Amestahili hongera kwake Okwi.
ReplyDelete