Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya klabu ya Ujerumani
Cologne katika mechi ya Europa iliopigwa jana usiku katika uwanja wa Emirates
Cologne ilianza kuongoza kwa bao la Jhon Cordoba kabla ya
Arsenal kusawazisha kupitia kwa Saed Kolasinac
Alexis Sanchez na Hector Bellerini wakahitimisha karamu
ya magoli kwa Arsenal
Mechi
zingine za Europa
Austria Wien 1-5 AC
Milan
Villarreal 3-1 FC Astana
Slavia Prague 1-0 Maccabi
Tel Aviv
Dynamo Kyiv 3-1 Skenderbeu
Young Boys 1-1 Partizan
Beograd
Hoffenheim 1-2 Braga
Istanbul Basaksehir 0-0 Ludogorets
Razgrad
Rijeka 1-2 AEK Athens
Atalanta 3-0 Everton
Apollon Limassol 1-1 Lyon
FC Koebenhavn 0-0 Lokomotiv
Moscow
Zlin 0-0 FC Sheriff
FC FCSB 3-0 Viktoria
Plzen




Post a Comment