SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: UFARANSA KUANDAA OLIMPIKI 2024
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Kamati ya Olimpiki jana imeichagua Ufaransa kuwa mwenyeji wa michuano ya Olimpiki kwa mwaka 2024 huku Marekani atakuwa mwenyeji mwaka 202...
Kamati ya Olimpiki jana imeichagua Ufaransa kuwa mwenyeji wa michuano ya Olimpiki kwa mwaka 2024 huku Marekani atakuwa mwenyeji mwaka 2028 katika michuano hiyo

Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa uchaguzi wa mji wa Paris kuwa mwenyeji wa michuano hiyo ni ishara kwamba ya kutambuliwa kwa mji na nchi kitu ambacho kila Mfaransa anapaswa kusherehekea

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top