SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: TOTTENHAM NA REAL MADRID ZAWIKA LIVERPOOL IKIBANWA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Mabingwa wa Klabu Bingwa Real Madrid wameanza vyema kampeni ya kutetea kombe la klabu bingwa barani ulaya kwa ushindi wa bao 3-0 dhidi ya A...
Mabingwa wa Klabu Bingwa Real Madrid wameanza vyema kampeni ya kutetea kombe la klabu bingwa barani ulaya kwa ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Apoel
Mchezaji bora barani ulaya Cristiano Ronaldo akicheza mechi yake ya kwanza msimu huu alifunga magoli mawili na Sergio ramos akahitimisha ushindi huo
Tottenham ikiwa nyumbani iliifunga Borussia Dortmund katika uwanja wake anaotumia sasa wembley na kujipa matumaini ya kufuzu hatua ya 16 katika kundi hilo gumu

Matokeo mengine

Liverpool 2-2 Sevilla
Real Madrid 3-0 Apoel

Feyenoord 0-4 Manchester City

RasenBallsport Leipzig 1-1 Monaco
Shakhtar Donetsk 2-1 SSC Napoli
Maribor 1-1 Spartak Moscow
FC Porto 1-3 Besiktas
Tottenham Hotspur 3-1 Borussia Dortmund

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top