SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: SIMBA NA HARD ROCK SASA KUPIGWA JUMAPILI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Wekundu wa Msimbazi Simba Sports club wamepeleka Mbele mchezo wao wa Kirafiki dhidi ya Hard Rock Kutoka Pemba Mchezo huo uliokuwa upigwe...
Wekundu wa Msimbazi Simba Sports club wamepeleka Mbele mchezo wao wa Kirafiki dhidi ya Hard Rock Kutoka Pemba

Mchezo huo uliokuwa upigwe leo katika Uwanja wa Uhuru umehairishwa mpaka Jumapili tarehe 3-9-2017, sababu ilopelekea kuhairishwa mchezo huo ni kutokana na timu ya Botswana Kufanya mazoezi leo kwa ajili ya Kujiandaa na Taifa Stars Kesho, Mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Uhuru.

Klabu ya Simba inawaomba radhi wanachama, wapenzi na mashabiki wote wa mpira

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top