Wekundu
wa Msimbazi Simba Sports Club watakuwa dimbani kesho dhidi ya Mbao fc katika uwanja
wa Ccm Kirumba Jijini Mwanza
Simba
itamkosa Shomari Kapombe na kipa wake Said Mohammed huku timu nzima ikiwa fiti kwa
mchezo wa kesho utakaoanza saa 10 jioni
Mchezo
huo utakuwa wane katika ligi na Simba wamejipanga kufanya vyema msimu hu,
akiongea na www.sdfsports.blogspot.com
nahodha wa Simba Method Mwanjali amesema wamejianda vyema kuhakikisha wanabeba
point 6 kanda ya ziwa mana wamepania kufanya kweli msimu huu.


Post a Comment