Timu
ya soka ya Everton ya nchini Uingereza imempa adhabu aliekuwa nahodha wa timu
ya taifa ya Uingereza ya kumkata mshahara wa wiki mbili mshambuliaji wake Wayne
Rooney kufuatia kukutwa na kosa la kuendesha gari akiwa amelewa.
Fedha hizo zitapelekwa kwenye kituo cha watu
wenye uhitaji, Klabu ya Everton ina mradi wa kusaidia watu wasiojiweza
Wayne Rooney aliomba msamaha ili kuepuka adhabu, baada ya
kuhukumiwa kutokuendesha gari kwa mda wa miaka miwili baada ya kukamatwa akiwa
anaendesha gari huku akiwa amelewa

Post a Comment