Leicester
imewalza Liverpool bao 2-0 katika mechi ya raundi ya tatu ya Kombe la Carabao,
ambao pia hufahamika kama Kombe la EFL
Shinji Okazaki na Islam slimani walifungia Leicester
mabao.
Matokeo Mengine yote ya jana yako hapa
§
Crystal Palace 1-0
Huddersfield Town
§
Aston Villa 0-2
Middlesbrough
§
Brentford 1-3 Norwich
City
§
Bristol City 2-0 Stoke
City
§
Burnley 2-2 Leeds
United (Leeds wakashinda kwa penalty 5-3)
§
AFC Bournemouth 1-0
Brighton & Hove Albion
§
Leicester City 2-0
Liverpool
§
West Ham United 3-0
Bolton Wanderers
§
Wolverhampton
Wanderers 1-0 Bristol Rovers
§
Reading 0-2 Swansea
City
§
Tottenham Hotspur 1-0
Barnsley



Post a Comment