Michuano
ya klabu bingwa Ulaya hatua ya makundi inapigwa hii leo jumanne usiku kwa
michezo mbalimbali kupigwa katika viwanja tofauti
Tumekuekea
hapa mechi zote za leo
Sevila v Maribor
Spartak Moscow v Liverpool
Manchester city v Shakhtar Donetsk
Napoli v Feyenoord
Besiktas v Rasen Ballsport
Monaco v FC Porto
Apoel v Tottenham
Borussia Dortmund v Real Madrid

Post a Comment