Golikipa wa zamani wa timu ya taifa ya Rwanda na Rayon
Sport Evariste Mutuyimana ameiaga dunia
usiku wa jana nyumbani kwake
Rayon Sport kupitia mtandao wake wa kijamii “ imeandika inaskitika
sana kutangaza
kifo cha mlinzi wao Mutuyimana Evariste. Tunasimama na familia yake na marafiki
katika kipindi hiki Kigumu”
Mutuyimana alikuwa mmoja wa
wachezaji walioshiriki kwenye Simba day Tanzania
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala
pema


Post a Comment