
Mabingwa wa kombe la washindi Manchester
United ambao hawakuwemo mwaka jana wanaanza kampeni hizo wakiwa nyumbani katika
dimba la Old Trafford kuwaalika Fc Basel, huku Benfica wakiwa wenyeji wa Cska
Moscow katika kundi A.
Bayern
Munich Vs Anderlecht
Celtic
Vs Paris Saint Germain.
Chelsea Vs Qarabag FK
As
Roma Vs Atletico Madrid
Fc Barcelona Vs Juventus
Olympiacos Vs Sporting CP.
Post a Comment