Michuano ya Klabu Bingwa Barani
Ulaya imeanza jana kwa mechi nane kupigwa katika viwanja tofauti
Matajiri wa Ufaransa Paris Saint- Germain waliokua ugenini wameishushia mvua ya magoli Celtic ya
Scotland jumla ya bao 5-0
Neymar na Mbappe walifunga bao moja kila Cavani akifunga mabao mawili na bao moja likifungwa na Michael Lusting wa Celtic akijifunga.
Neymar na Mbappe walifunga bao moja kila Cavani akifunga mabao mawili na bao moja likifungwa na Michael Lusting wa Celtic akijifunga.
Manchester ikiwa nyumbani Old Trafford imeanza vyema michuano hiyo kwa kwa kuizaba FC Basel kwa mabao 3-0. Mchezo huo
wa kwanza wa kundi A wakati mchezo mwingine wa kundi hilo Cska Moscow ameichapa
Benfica 2-1 nyumbani kwao
Matokeo mengine ya mechi zilizochezwa jana
Chelsea FC 6-0 Qarabag
Celtic 0-5 Paris Saint- Germain
B. Bayern Munich 3-0 Anderlecht.
Barcelona 3-0 Juventus
Sporting Lisbon 3-2 Olympiakos.
Roma 0-0 Atletico
Madrid.





Post a Comment