Msemaji
wa Simba Hajji Manara leo ametangaza kamati maalum ya itakayosmamia mchakato wa
zabuni katika klabu hiyo ya Simba
Katika
uteuzi huo Mhe. Jaji Mstaafu wa Mahakama kuu Thomasi Mihayo ameteuliwa kuwa
Mwenyekiti wa Kamati hiyo akiwa na wajumbe wane ambao ni Abdulrazzaq Badru
ambaye ni Mkurugenzi Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Nchini, Wakili maarufu na
mwandamizi Dr. Damas Ndumbaro mwingine ni Mhe: Mussa Azan Zunu mbunge wa jimbo
la Ilala na Mtaalamu aliyebobea katika masuala ya manunuzi Ndugu Yusuph Maggid
Nassoro
Kamati
itakuwa huru itafanya kazi zake kwa kuzingatia taratibu zote za kimanunuzi kwa
mujibu wa sheria na taratibu za nchi
Post a Comment