SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: STARS YAFANYA KWELI MSUVA AWAKALISHA BOTSWANA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Botswana katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo jioni Mpa...
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Botswana katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo jioni

Mpaka mapumziko Taifa Stars walikuwa mbele kwa bao 1-0 goli lilofungwa na Simon Msuva

Kipindi cha Pili kilianza kwa kasi huku team zote zikisaka magoli

Simon Msuva aliiandikia Taifa Stats goli la pili katika dakika ya 65 baada ya kazi nzuri ya Shiza Kichuya

Stars walifanya mabadiliko kwa kuwatoa Simon Msuva, Mbwana Samata, nafasi zao zikachukuliwa na Farid Mussa na Elias Maguri

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top