
Mameneja wengi
wakiongozwa na Arsene Wenger walikuwa wakilalamika wachezaji kuhama wakati ligi
ikiwa imeanza inawaharibia mipango yao
Kuanzia msimu ujao,
dirisha la usajili kwa wachezaji litafungwa siku ya Alhamisi itakayokuwepo
kabla ya ligi mpya kuanza.
Dirisha la usajili kwa
wachezaji wote Ulaya hufungwa tarehe 31 Agosti.
Vyama vingine vya soka
vimesema vinaeza kufata utaratibu huo lakini wanaitaji muda
Post a Comment