Mchezo nambari 10 wa Ligi kuu Vodcaom Tanzania Bara kati ya Azam na Simba Uliokuwa upigwe saa 1 usiku sasa utapigwa saa 10 jioni.
Mchezo huo utakaofanyika nje Kidogo ya Mji wa Dar es salaam katika Uwanja wa Azam Chamanzi
Hatua hiyo imechukuliwa kwa sababu za kiusalama kutoka na Jeshi la Polisi kuomba mechi hiyo isichezwe usiku
Mambo mengi yote yatabaki kama yalivo
SIMBA NA AZAM KUPIGWA SAA 10 JIONI
Title: SIMBA NA AZAM KUPIGWA SAA 10 JIONI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Mchezo nambari 10 wa Ligi kuu Vodcaom Tanzania Bara kati ya Azam na Simba Uliokuwa upigwe saa 1 usiku sasa utapigwa saa 10 jioni. Mchezo...
Post a Comment