Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Salum Mayanga ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachocheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Botswana September 5 mwaka huu katika uwanja wa Uhuru.
Katika kikosi hicho mwalimu amemrejesha kipa wa Azam Mwadini Ally na beki Kelvin Yondani huku akiwaacha Said Mohamed, Beno Kakolanya na John Bocco kutokana na kuwa majeruhi.
Kikosi kilichotangazwa kinaundwa na wafuatao
Makipa;
Aishi Manula (Simba), Mwadini Ali (Azam FC) na Ramadhani Kabwili (Yanga SC).
Mabeki;
Gardiel Michael (Yanga), Boniface Mganga (Mbao FC), Abdi Banda (Baroka FC, Afrika Kusini), Kelvin Yondan (Yanga), Salim Mbonde (Simba) na Erasto Nyoni (Simba).
Viungo;
Himid Mao (Azam FC), Hamisi Abdalla (Sony Sugar, Kenya), Muzamil Yassin (Simba), Said Ndemla (Simba), Simon Msuva (Difaa Hassan El- Jadida, Morocco), Shiza Kichuya (Simba), Farid Mussa (Tenerrife B, Hispani) na Morel Ergenes (Ureno).
Washambuliaji;
Rafael Daudi (Yanga), Kelvin Sabato (Mtibwa Sugar), Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji) na Elius Maguli (Dhofar FC, Oman).
MAYANGA ATANGAZA JESHI LA TAIFA STARS LITAKALOIVAA BOTSWANA
Title: MAYANGA ATANGAZA JESHI LA TAIFA STARS LITAKALOIVAA BOTSWANA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Salum Mayanga ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachocheza mchezo wa kimataifa wa kirafi...


Post a Comment