Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), msimu wa
2017/18 limefunguliwa rasmi wikiendi hii kwa michezo nane iliyopigwa viwanja
tofauti nchini.
Tumekuekea hapa matokeo yote ya Raundi ya kwanza ya ligi kuu.
Mtibwa Sugar 1-0 Stand United
Mbeya City
1-0 Majimaji
Mwadui FC
2-1 Singida United
Njombe
Mji 0-2 Tanzania Prisons
Kagera
Sugar 0-1 Mbao FC
Simba SC
7-0 Ruvu Shooting
Ndanda FC
0-1 Azam FC
Yanga
1-1 Lipuli


Post a Comment