Wakati Serengeti Boys wakielekea kwenda nyumbani kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kupata naye chakula cha jioni kwa mwaliko wake, maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wamekamata basi wanalotumia na kuwashusha njiani. Viongozi wa Serengeti Boys wanatafuta basi jingine kuitikia mwaliko wa Mama Samia. Huenda wakachelewa mwaliko kutegemea kupatikana kwa usafiri mwingine.
Alfred Lucas
MCO - TFF
TRA WAISHUSHA SERENGETI BOYS NJIANI
Title: TRA WAISHUSHA SERENGETI BOYS NJIANI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Wakati Serengeti Boys wakielekea kwenda nyumbani kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kupata n...
Dah mambo gani Haya jamani,tff zungumzeni na tra muone mtatatua VP hayo matatizo
ReplyDelete