Klabu ya Simba inapenda kuwaarifu waandishi wana habari, itakuwa na mkutano wake 'MAALUM' na wanahabari kesho saa tano na nusu asubuhi ya tarehe 19-4-2017. Kikao kitakachofanyika makao makuu ya Club mtaa wa Msimbazi Kariakoo.
Mkutano huo unalenga kutoa ufafanuzi mpana wa kinachoendelea kwenye mchezo wa soka unaopendwa na kushabikiwa sana kote nchini na duniani kwa ujumla.
IMETOLEWA NA..
*HAJI S MANARA*
Mkuu wa Habari wa Simba Sc
SIMBA KUNGURUMA NA WAANDISHI WA HABARI KESHO
Title: SIMBA KUNGURUMA NA WAANDISHI WA HABARI KESHO
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Klabu ya Simba inapenda kuwaarifu waandishi wana habari, itakuwa na mkutano wake 'MAALUM' na wanahabari kesho saa tano na nusu asu...
Post a Comment