Kamati ya katiba ,sheria na hadhi za wachezaji imeahirisha kutoa maamuzi yake juu ya kuipoka au kuiachia Simba point zake ilizopewa na Kamati ya masaa 72 kwa kile kilichoelezwa kukosekana kwa ushahidi juu ya shauri hilo.
Katibu mkuu wa TFF ndugu selestine mwesigwa amewaambia wanahabari muda mfupi ulopita kwamba kikao hicho kitaendelea kesho na maamuzi huenda yakatoka kesho hiyo hiyo.
Sakata hili limeonekana kuwa gumu na zito hasa baada ya Kamati zote zilizokaa kuamua kutumia ushahidi wa waamuzi,viongozi na mchezaji mhusika badala ya kutumia kumbukumbu zinazotumwa baada ya mchezo kitu ambacho kimeonekana ni kipya katika Mpira wa miguu duniani
KAMATI YAHAIRISHA KIKAO KUENDELEA KESHO
Title: KAMATI YAHAIRISHA KIKAO KUENDELEA KESHO
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Kamati ya katiba ,sheria na hadhi za wachezaji imeahirisha kutoa maamuzi yake juu ya kuipoka au kuiachia Simba point zake ilizopewa na Kam...
Post a Comment