Wawakilishi pekee katika michuano ya kimataifa Yanga wameambulia kichapo cha bao 4-0 katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliopigwa jana nchini Algeria dhidi ya Mc Alger
Mpaka mapumziko Mc Alger walikuwa mbele kwa bao 2-0
Kipindi cha pili Yanga walipoteana uwanjani na kuwapa nafasi Mc Alger kuongeza mabao mawili mengine
Mpaka Dakika 90 Mc Alger 4 na Yanga hawajapata kitu na kufanya matokeo kuwa 4-1
Mc Alger anasonga mbele kwenye hatua ya Makundi ambayo yatapangwa mwezi ujao mjini Cairo
MC ALGER YAIBEBSHA KAPU LA MAGOLI YANGA
Title: MC ALGER YAIBEBSHA KAPU LA MAGOLI YANGA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Wawakilishi pekee katika michuano ya kimataifa Yanga wameambulia kichapo cha bao 4-0 katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliopigwa jana n...
Post a Comment