![]() |
Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza dhidi ya Botswana |
![]() |
Kikosi cha kwanza cha Botswana kilichoanza dhidi ya Taifa Stars |
![]() |
Waziri mpya wa habari utamaduni na michezo Dr. Harrison Mwakyembe (mwenye koti leusi) akiingia uwanjani kukagua timu kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
Manahodha wa timu zote mbili wakisalimiana kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
Kocha Salum Mayanga kushoto na msaidizi wake kulia wakiwa katika benchi la ufundi la Taifa Stars |
![]() |
Nahodha wa Taifa Star Mbwana Ally Samatta akichanja mbuga kuelekea katika lango la Botswana |
![]() |
Mshambilizi hatari wa Taifa Stars Ibrahim Ajibu akichechekecha akili kutafuta namna ya kumtoka mchezaji ya Botswana |
![]() |
Winga hatari wa Stars Simon Msuva akimhadaa mchezaji wa Botswana katika mchezo wa jana |
![]() |
Wachezaji wa Stars Simon Msuva na Farid Mussa wakimpongeza nahodha wao Mbwana Ally Samatta baada ya kuipatia Stars goli la pili |
Post a Comment