Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza lake la Mawaziri.
Dr Harrison Mwakyembe ameteuliwa kuchukua nafasi ya Mh Nape Nnauye kwenye Wizara ya Habari utamaduni Sanaa Na Michezo
Karibu Dkt Harrison Mwakyembe Kwenye Tasnia ya Michezo
Nimekuwekea hapa Taarifa ya ikulu
Post a Comment