Katika kipindi cha pili,Simba ilianza kwa kucheza kwa kasi sana na ikaweza kufanikiwa kupata goli la pili la mchezo katika dakika ya 48 kupitia mshambuliaji wake Laudit mavugo aliyeunganisha vyema pasi ya Ibrahim Hajibu. Katika dakika ya 62,Mwamuzi Ngole Mwangole alitoa kadi nyekundu na kumpa Jabir Aziz wa Ruvu shooting kutokana na kumchezea rafu Ibrahim Ajibu. Katika dakika ya 64 Simba ilifanya mabadiliko ilimtoa Mavugo na nafasi yake ikachukuliwa na fredrick Blagnon. Katika dakika ya 73 Ibrahim Hajibu alipiga shuti lakini liligonga mwamba. Mpaka mpira unaisha matokeo yalibaki 2-1. Mpaka sasa Simba imecheza mechi 3 na imeshinda mechi 2 nakutoka sare mechi moja.
SIMBA YAWAPIGISHA KWATA WANAJESHI WA RUVU
Timu ya soka ya Simba sc leo hii imeendleza ubabe wake baada ya kuipiga timu
ya Ruvu Shooting kwa magoli 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom uliochezwa
leo hii katika uwanja wa Uhuru.
Ruvu shooting ilikuwa ya kwanza kupata goli dakika ya 8 kupitia mshambuliaji
wake Abdulrahman Mussa aliyepiga shuti kali nje ya 18 shuti liliomzidi golikipa
wa Simba,Vicent Angaban. Dakika tatu baadae Simba ilisawazisha kupitia Ibrahim
Ajibu aliyeunganisha vyema krosi ya Mohamed Hussein'Zmbwe'. Katika dk ya 19
Laudit Maugo alipoteza nafasi ya wazi akiwa amebaki na kipa wa Jkt Ruvu
Abdallah Rashid. Katika dk ya 23 Simba ilipoteza tena kupitia Mavugo aliyeshindwa
kuunganisha vyema pasi ya Ibrahim Ajibu na katika dakika ya 31 Said Ndemla wa
Simba alipiga shuti lakini kipa wa Ruvu shooting Abdallah Abdallah aliokoa
shuti lile kwa kulipangua. Mavugo alipoteza nafasi nyingine ya wazi kwa
kupaisha tena mpira. mpaka halftime matokeo yalikuwa 1-1. Katika kipindi cha
kwanza mwamuzi Ngole Mwangole alitoa kadi mbili za njano moja akimpa mchezaji
wa Simba Ibrahim Hajibu na upande wa Ruvu shooting alimpa kadi Frank Msese
Katika kipindi cha pili,Simba ilianza kwa kucheza kwa kasi sana na ikaweza kufanikiwa kupata goli la pili la mchezo katika dakika ya 48 kupitia mshambuliaji wake Laudit mavugo aliyeunganisha vyema pasi ya Ibrahim Hajibu. Katika dakika ya 62,Mwamuzi Ngole Mwangole alitoa kadi nyekundu na kumpa Jabir Aziz wa Ruvu shooting kutokana na kumchezea rafu Ibrahim Ajibu. Katika dakika ya 64 Simba ilifanya mabadiliko ilimtoa Mavugo na nafasi yake ikachukuliwa na fredrick Blagnon. Katika dakika ya 73 Ibrahim Hajibu alipiga shuti lakini liligonga mwamba. Mpaka mpira unaisha matokeo yalibaki 2-1. Mpaka sasa Simba imecheza mechi 3 na imeshinda mechi 2 nakutoka sare mechi moja.
Katika kipindi cha pili,Simba ilianza kwa kucheza kwa kasi sana na ikaweza kufanikiwa kupata goli la pili la mchezo katika dakika ya 48 kupitia mshambuliaji wake Laudit mavugo aliyeunganisha vyema pasi ya Ibrahim Hajibu. Katika dakika ya 62,Mwamuzi Ngole Mwangole alitoa kadi nyekundu na kumpa Jabir Aziz wa Ruvu shooting kutokana na kumchezea rafu Ibrahim Ajibu. Katika dakika ya 64 Simba ilifanya mabadiliko ilimtoa Mavugo na nafasi yake ikachukuliwa na fredrick Blagnon. Katika dakika ya 73 Ibrahim Hajibu alipiga shuti lakini liligonga mwamba. Mpaka mpira unaisha matokeo yalibaki 2-1. Mpaka sasa Simba imecheza mechi 3 na imeshinda mechi 2 nakutoka sare mechi moja.
Say Bravo to Simba Sports Club
ReplyDeleteTuendele Kudumisha Mshikamano tulionao sasa Mambo mazuri yanakuja
Game ilikuwa poa,ila tunakosa sana nafasi
ReplyDeleteGame ilikuwa poa,ila tunakosa sana nafasi
ReplyDeleteNi kweli @Ntimizi kocha anatakiwa ashughulikia tatizo la umaliziaji kwani tunatengeneza nafasi nyingi lakini tunakosa magoli nadhani kocha amelione hilo.
ReplyDeleteKabisa,hlf ajib aongeze nidhamu kidogo maana karibu kila game anapata yellow card
ReplyDelete