Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inaendelea tena
leo kwa mchezo mmoja katika dimba la uwanja wa uhuru.
Mnyama Simba Sports club atawakaribisha wakata miwa
wa mji kasoro bahari Mtibwa Sugar ya morogoro
katika mchezo wa raundi ya nne ya lIgi kuu vodacom Tanzania bara.
Akizungumza na Simba damu fans kocha msaidizi wa Simba
Jackson Mayanja amesema wamejiandaa vizuri
kuhakikisha wanapata point tatu muhimu.
Post a Comment