Wachezaji wa timu ya Yanga wameshauriwa kujituma ili kupata matokeo katika michuano ya kombe la Shirikisho Afrika ili kupata pesa nyingi ambazo zitaweza kutatua matatizo yanayo wakabili.
Ushauri huo umetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba na kusema kwa sasa wachezaji wa Yanga wanapaswa kutuliza akili na kuongeza jitihada katika michuano hiyo.
Mwigulu ameiambia SDF Sports kuwa anafahamu wachezaji wanadai pesa nyingi kwa klabu lakini kama watafanya vizuri watapata hela nyingi kuliko wanazodai.
"Wachezaji wa Yanga wanapaswa kujitambua na kuelekeza akili katika michuano ya Shirikisho ambako wanaweza kupata kiasi kikubwa cha pesa kuliko wanachoidai klabu," alisema Mwigulu.
"Wachezaji wa Yanga wanapaswa kujitoa sana katika mechi za makundi Afrika kwakua watapata pesa nyingi kwa mustakabali wa maisha yao," alisema Mwigulu.
.
HUU HAPA USHAURI WA MWIGULU KWA WACHEZAJI WA YANGA
Title: HUU HAPA USHAURI WA MWIGULU KWA WACHEZAJI WA YANGA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Wachezaji wa timu ya Yanga wameshauriwa kujituma ili kupata matokeo katika michuano ya kombe la Shirikisho Afrika ili kupata pesa nyingi a...
Unajitoa vipi na wakati tumboni hamna kitu nyumbani lawama kibao kwa familia mtoto karudiahwa kisa karo ya shule.....
ReplyDelete