Gor Mahia ya Kenya imefanikiwa kutwa Ubingwa wa Sportpesa cup kwa mwaka 2017 kwa kuwafunga mahasimu wao AFC Leopards mabao 3-0
Mpaka mapumziko timu hizo zilikuwa hazijafungana
Kipindi cha Pili kilianza kwa Kasi huku Gor Mahia wakilishambulia goli la AFC Leopards, dakika ya 63 Otieno aliwainua mashabiki wa Gor Mahia kwa bao safi kabisa, dakika tano baadae akaingia Oliver Maloba na kuifungua Gor Mahia Goli la Pili kabla ya John Ndirangu kufunga goli la tatu na la Ushindi.
Gor Mahia wanakuwa Mabingwa wa kwanza wa Sportpesa cup na kujinyakulia kitita cha dola elfu 30,000 huku AFC Leopards wakipata dola elfu 10,000
Mashindano hayo yalianza Juni 5 na kufikia tamati leo kwa Gor mahia ya Kenya kutwaa Ubingwa huo
GOR MAHIA MABINGWA WAPYA KOMBE LA SPORTPESA
Title: GOR MAHIA MABINGWA WAPYA KOMBE LA SPORTPESA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Gor Mahia ya Kenya imefanikiwa kutwa Ubingwa wa Sportpesa cup kwa mwaka 2017 kwa kuwafunga mahasimu wao AFC Leopards mabao 3-0 Mpaka map...
Post a Comment