
Mechi ya kwanza
Juventus waliwafunga Monaco goli 2-0 (aggregate 4-1)
Mario Mandzukic na
Dani Alves waliwafungia juventus mabao ya jana usiku huku la Monaco likifungwa
na Kylie Mbappe alifunga krosi iliopigwa katika kimo cha nyoka ya Joao Moutinho
ili kufunga bao la kufutia machozi
Juventus hawajashinda kombe hilo tangu 1996 na walipoteza katika fainali ya mwaka 2015
dhidi ya Barcelona watakabiliana na Real Madrid au Atletico Madrid katika
uwanja wa Cardiff tarehe 3 mwezi Juni.
Post a Comment