
Rais huyo wa Caf
ambae aliingia madarakani mwezi Machi baada ya kuchumuangusha mgombea mwenza MCameroon
Issa Hayatou.
Ahmed amesema Nimekataa
kuchukua mshahara kwa sababu sio heshima kwa usimamizi mzuri
Raia huyo wa
Madagascar mwenye umri wa miaka 57 alisimamia mkutano wake mkuu katika
shirikisho hilo siku ya Jumatatu
Ahmed amesema mabadiliko kuhusu usimamizi ni swala muhimu
sana, kila mtu anapaswa kujua kinachotendeka.
Post a Comment